Phema Market ni soko namba moja la kidijitali lililoanzishwa ili kuimarisha biashara ya duka kwa kurahisisha upatikanaji wa bidhaa zenye ubora na kwa bei nafuu.
Tunawafikishia bidhaa wanunuzi mpaka dukani BURE muda wowote wanapozihitaji ata katika kipindi ambacho wanapungukiwa na mtaji.
Mnunuzi anaweka Oda yake Hapa kwenye tovuti yetu au kwenye App yetu au kwa kupiga simu yetu ya Oda au kwa kutuma ujumbe mfupi wa simu au WhatsApp.
Baada ya Phema market kupokea Oda tunamtumia ujumbe mfupi mnunuzi kuthibitisha kwamba tumepokea Oda yake na kisha tunaandaa bidhaa za mteja na kuzihakiki.
Bidhaa zinapokuwa tayari, Mnunuzi anapokea ujumbe mfupi kumjulisha kwamba msambazaji wa Phema Market ameanza safari na kisha mnunuzi anapokea bidhaa zake
Mnunuzi wa Phema Market anapokea mzigo ndani ya siku endapo ataweka oda kuanzia saa mbili asubuhi adi saa tisa alasiri.
Kutokana na changamoto ya wanunuzi wengi kupata bidhaa zilizochakachuliwa sokoni, Phema Market tunahakikisha ubora wa bidhaa tunazosambaza kwa wateja wetu.
Mnunuzi anapata bidhaa zenye ubora kutoka Phema Market kwa bei nafuu kulingana na bei za sokoni na hivyo kupata faida zaidi katika biashara yake.
Tsh 1,850
Tsh 1,300
Tsh 7,000
Tsh 1,845
Mikocheni A, Regent Estate, Vikawe Street. Plot No 230